+10 344 123 64 77

Saturday, May 23, 2015

JB::: NI TAHADHARI KUHUSU YA HAWA MATAPELI

JB Atoa Tahadhari Kuhusu ya Matapeli Hawa

  •  NI Tahadhari: kuna watu wametengeneza akaunti feki yenye picha zangu.na wanasema kwamba Jerusalem inahitaji wasanii wapya.na wanawapigia simu watu huku wakiwatoza kiasi cha Tsh 45000 hadi laki kama ada ya kujiandikisha.watu hawa ni matapeli.na wamechukua hela nyingi kwa watu.jamani hatuna utaratibu huo na usikubali kutoa pesa====>>Fb watu wanaitumia vibaya sana..
By THE JB on ;;Instagram

0 comments:

Post a Comment