+10 344 123 64 77

Saturday, May 23, 2015

RAY, HEMEDY(PHD), WEMA SEPETU!!! WASHAKUA TUZO 2015!!! LAKINI MHHHH!!!

Wema Sepetu, Ray , Hemedy PHD Wanyakua Tuzo Za ‘Tuzo Za Watu2015’


NI Mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu, Vicent Kugosi ‘Ray’ na Hemmedy PHD wameshinda tuzo za TUZO ZA WATU za mwaka huu zilizofanyika usiku wa jana.
Wema sepetu ameshinda tuzo ya muigizaji wa kike anayependwa  wakati Ray ameshinda tuzo ya muongozaji  wa filamu anayependwa huku Hemmed PHD ameibuka mshindi wa wa tuzo yamuigizaji wakiume anayependwa na filamu ya Kigodoro imeibuka kuwa ni filamu inayopendwa.
Hongereni sana washindi wote WA MWAKA HUU.

0 comments:

Post a Comment