NINawashukuru Sana Watanzania Wote Kwa Kuniwezesha Kuwa Director Bora Mwaka 2015 . Pia Napenda Kuwapongeza Waandaji Wa (TUZO ZA WATU) Nyinyi Ni Mfano Wa Kuigwa Kwenye Hizi Tuzo Si Kwa Sababu Nimepata Noo Ila Nasema Ukweli Toka Moyoni Mwangu Usiku Wa Jana Mmefanya Kitu Kikubwa Sana Hongereni. Pia Nilikuwa Najua Kuwa Wadau Msingeweza Kuniangusha Kwa Kuwa Mnajua Nilipo Itoa Tasnia Mungu Awabariki Sana.
By: Vicent Kigosi on his hInstagram
0 comments:
Post a Comment