+10 344 123 64 77

Monday, May 25, 2015

KAJALA!!!! NAMPENDA SANA MYCISTER ILA SIJUI YEYE KAMA ANAFANYA KAMA MIMI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi

Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.
“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye alinisaidia,” alisema Kajala.
Pia Kajala amekanusha kutembea na mpenzi wa zamani wa rafiki yake huyo hali iliyozua ugomvi baina yao na kusababisha mpaka sasa kutoelewana.

0 comments:

Post a Comment