+10 344 123 64 77

Monday, May 25, 2015

WASANII>>>BABA BJII & WOLPER!!!!!! HAPATOSHI NDANI YA KAUVA====>>ENDELEA


Jack Wolper na Baba Haji Hapatoshi Ndani ya ‘Kauva’
  • Jack Wolper na Baba Haji Hapatoshi Ndani ya ‘Kauva’ 1
 
====>>Wanakutana mastaa wawili wa Bongo Movies, kwenye filamu ya KAUVA na kufanya makubwa ni hatari unajua wasanii hao ni nani nani? Basi si wengine ni Jack Wolper na kipenzi cha wengi mzee wa Malavudavi Haji Adam aka Baba Haji stringi wa Kihindi
Filamu  ya Kauva inatarajia kuleta mapinduzi katika tasnia ya filamu kutokana na Teknolojia iliyotumika katika utengenezaji uigizaji na wasanii walioshiriki katika filamu hiyo kuigiza wameonyesha ushindani mkubwa sana anasema msemaji wa Splash Steve Serengia.
....>>>Ni kazi ambayo imetengenezwa na kutedewa haki na wasanii walioigiza kama unavyomjua Baba Haji na amekutana na Jack Wolper huku kuna Hashim Kambi si mchezo na inasambazwa na Splash Entertainment,”anasema Stev3.Z

0 comments:

Post a Comment