+10 344 123 64 77

Saturday, May 30, 2015

LUCCY!!!!"MTAZAMO TU " HIZI NI SHIDA KUBWA TULIZO NAZO WASANII===>> ZIJUE ZAIDI HAPA

Lucy Komba: Shida Kuubwa Tuliyonayo Wasanii...

    HIZI NI SHIDA KUUBWA TULIYONAYO WASANII ukiwa na mwanaume kijana utaambiwa hufanani nae, ukiwa na mbabu utaambiwa vijana wote waliojaa mjini mbabu wa nini, ukiwa na kijana ambaye hana hela utaambiwa na umaarufu wote huo umekosa mwanaume mwenye hela, ukiwa na tajiri utasikia anasura mbaya lakini pesa sabuni ya roho, ukiwa na mzungu mzee utaambiwa huna lolote usubiri madakesi tu, ukiwa na mzungu kijana utaambiwa mzungu gani hana hela.
    Sasa je tufanyaje? Tuchagulieni nyie basi wa kufanana na sie. Lakini mimi naangalia moyo wangu unavyoniambia siangalii ya binadamu hasa sisi weusi maneno hayakauki.
    By Lucy Komba on HER  Instagram

    0 comments:

    Post a Comment