Saturday - 7 June, 2025 +10 344 123 64 77

Thursday, May 28, 2015

MTOTO WA ABTI EZEKIEL NA MOSES "COOKIE" NI HUYU HAPA MTAZAME=====>>>>>ANGALIA

Picha: Huyu Hapa ‘Cookie’ Mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo


NI MKUBWA KWA UStaa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel ame ‘share’ nasi  picha hii kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao waliompa jina la COOKIE
"La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu na Cookie zao"-Aunty ameabika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.

0 comments:

Post a Comment