Wednesday - 25 June, 2025 +10 344 123 64 77

Thursday, May 28, 2015

AKAH!!! NAOGOPA MSAADA WENYE MASHARTI>>>>ODAMA HUYO.... HEBU BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Odama: Naogopa Msaada wa Masharti
 NI Staa wa Bongo Movies,  mwenye mvuto  wa aina yake, Jennifer Kyaka ‘Odama’, amesema anaogopa marafiki wa kiume kwa kuwa huwa na masharti magumu pindi wanapotoa msaada.
“Wasanii wa kiume kwangu sipendi kwa kuwa huwa na masharti kuliko marafiki wa kike ambao husaidia bila masharti ya ajabu,” alisema.
Aliongeza kwamba, marafiki wa kike anakuwa huru kuwaeleza shida na matatizo yake kuliko wa kiume ndiyo maana hiyo ni sababu yake nyingine ya kutopenda marafiki wa kiume kama anavyopenda marafiki wa kike.

0 comments:

Post a Comment