+10 344 123 64 77

Friday, May 29, 2015

SHEMSA FORD!!! HAYA NI MAONI YAKE KWA MUONEKANO WAKE====>>HEBU CHEKI HAPA

Shamsa Ford: Usimuhukumu Mtu kwa Muonekano Wake

NI Usimjudge mtu kwa muonekano... MUONEKANO HUDANGANYA!!!! muonekano unaweza kufanya UKAMUHESHIMU mtu kumbe akawa mshenzi tu.. na muonekano huohuo unaweza ukafanya UKAMDHARAU mtu kumbe ni mtu wa maana.... wangapi wana haiba za upole na ustaarabu lakini ukiambiwa matendo yao ya nyuma unaweza ukabaki mdomo wazi... kuna wangapi wanaonekana ni WATU wenye roho kwenye jamii na wanaopenda kusaidia lakini nyuma ya pazia kwa watu wanaoishi nao kila siku roho zao zina kutu na manyanyaso... ila kwa mionekano yao walioitengeneza mbele za watu huwezi kugundua chochote na ndio hao ambao kila siku wanajizolea sifa mbalimbali kwenye jamii!! Iwe kimatendo, kitabia na mienendo, kiroho, kiuwezo ama vyovyote vile.. lakini kwakuwa tunachoangalia ni muonekano wao basi tunaamini kilekile tulichokiona bila kutafakari mengineyo... kikubwa tu USIMUHUKUMU MTU KWA MUONEKANO WAKE.
Shamsa Ford aliandika hayo kwenye ukursa wake mtandaoni baada ya watu kumshambulia kwa maneno mara baada ya kuweka picha hizo hapo juu ambazo watu wengi walisema hazina maadili na wengine kwenda mabali zaidi na kudai mwanadada huyo atakuwa anatafuta soko.
Mdau,  hili kwako umelionaje? EBU TOA MAONI HAPA

0 comments:

Post a Comment