+10 344 123 64 77

Wednesday, May 13, 2015

SHILOLE!!! JAMANI HUYU NDO MWANAUME WANGU WA MAISHA!!!!===>>soma zaidi kuhusu hili


Shilole: Huyu Ndio Mwanaume wa Maisha Yangu
     
    Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva HAPA NCHINI , Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.
    “Huyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhimu wangu kuliko mtu yeyote yupo na mimi bega kwa bega ninapokuwa na furaha nahata ninapokuwa na majonzi mimi naweza sema ndo mwanaume wa maisha yangu naomba Mungu asije badilika nitaumia sana.Nampenda sana huyu mtu nyinyi mnamuta Nuh mimi namuita Jackson”-Shilole ameeleza.
    Hili ni jambo jema,kila la kheri Shilole na Mziwanda kwenye maisha yanu ya mapenzI ongeleni kwa kua wa wazi katika mahusiano yenu

    0 comments:

    Post a Comment