+10 344 123 64 77

Thursday, May 28, 2015

YAMOTO NA MASHAUZI LEO!! NDANI YA MANGO GARDENI===>> NI BONGE LA SHOW USIKOSE

NI ===>>> mara ya kwanza baada ya miaka mingi, ukumbi wa Mango Garden, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kupitisha wikiendi bila burudani yoyote, leo usiku ‘utawaka moto’ wakati Yamoto Band na Mashauzi Classic zitakapotoa shoo kabambe hapo.
NI Wasanii wa yamoto band.
Ni onyesho ambalo limeteka hisia za mashabiki wa muziki kutokana na ukweli kuwa vikundi hivyo viwili havijawahi kukutana katika katika onyesho la pamoja, ukiondoa yale matamasha yanayoshirikisha wasanii wengi.
Kesho, Ijumaa,  Malaika Band 

0 comments:

Post a Comment