+10 344 123 64 77

Thursday, May 28, 2015

MAHABA!!! RAY NA CHUCHU HANS NI SHIDAHHH!!!! BOFYA KUCHEKI MWENYEWE


 NI ===>>MAHABA popote! Licha ya kudaiwa ‘wamemwagana’, wapenzi wawili ambao ni wasanii ndani ya Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans wameoneshana mahaba mazito hadharani na kuwaziba midomo waliodhani hawawezi kuwa pamoja tena.

NI Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans wakionyeshana mahaba.
Ishu hiyo ilinaswa hivi karibuni na ‘kasuku’ wetu maeneo ya Posta jijini Dar, kulikokuwa na sherehe za utoaji wa tuzo za filamu (TAFA) na kuwafanya watu wengi kushangaa huku wakionekana kuteta kwa nyakat

0 comments:

Post a Comment