+10 344 123 64 77

Saturday, June 13, 2015

BONGO YETU!!!!! IVI NDOA YA KOHARI BADO???....... ANGALIA COMMENT ZAKE MWENYEWE HAPA

Ndoa ya Johari Bado!
MSANII mahiri katika filamu nchini, Blandina Chagula >>Johari<< amesema kamwe hatarajii kuolewa na mtu maarufu, kwani ni pasua kichwa na kwake anataka mume asiye na jina kubwa.
Johari amefunguka kwa kusema, wanaume maarufu ni wasumbufu na ana uhakika mkubwa hawawezi kudumu katika ndoa kwani wana mambo mengi hivyo anaitaji mwanaume wa kawaida.
====>>Kwanza sihitaji mwanaume wa kunioa awe maarufu, nataka mtu wa kunijali na kunithamini na kingine awe mchapakazi kwa sababu mimi mwenyewe mtafutaji<<<< alisema Johari alisema kwa upande wake hachagui mwanaume, isipokuwa anataka mtu huyo awe mwenye kujua thamani ya mwanamke na kumheshimu.
Johari amekuwa akiigiza kwa muda mrefu sasa na ni miongoni mwa nyota wenye kutambulika sanakatika sanaa ya uigizaji wa filamu hapa nchini.

0 comments:

Post a Comment