- NI yule yule Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael >>Lulu<< ambaye kwa muda sasa hajaonekana mbele ya kamera za kurekodi movies, leo kupitia ukurasa wake mtandaoni ame-share nasi picha hiyo hapo juu akiwa lokesheni waki-shoot Movie huku akionekana mwenye nguvu na furaha.
====>>Back to Work...Doing wat I always Do Best..! On Set<<==== BY Lulu aliandika kwenye picha hiyo.
0 comments:
Post a Comment