Video ya muigizaji maarufu nchini, Elizabeth michael , KWA MAARUFU lulu, imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ambapo msanii huyo aliipost kwenye ukurusa wake wa instagram.
Video hiyo inamuonyesha msanii huyo akicheza wimbo wa mwanamuziki maarufu nchini, diamond platnums, unaojulikana kama nana /sankoro
Mwangalie hapo chini anavyocheza HAPA
0 comments:
Post a Comment