+10 344 123 64 77

Monday, June 22, 2015

SHISHI BABY!!! AWATOLEA UVIVU WANAOTAKA KUALIBU MAHUSIANO YAKE NA KIPENZI CHAKE....



















Mwanamuziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed >>Shilole<< amewatolea uvivu wanawake wanaomshobokea mpenzi wake kwa kuwapa mkwara mzito endapo wataendelea na tabia hiyo kwani hawajui wametoka wapi.   Hatua hiyo imefikiwa baada ya mwanamke mmoja kujitokeza katika vyombo vya habari na kudai kuwa ana ujauzito wa Nuh Mziwanda, jambo ambalo Mziwanda, alilikanusha na kudai hana mwanamke wa nje zaidi ya Shilole. Ameandika.....

0 comments:

Post a Comment