
NI JAMII imeshauriwa kutowafungia ndani watoto wenye vichwa vikubwa, badala yake wa wawapeleke hospitali ili kupatiwa matibabu. Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto Wenye Vichwa Vikubwa (ASBAHT), Abdulhakim Bayakub, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa kujadili changamoto zinazowakabili watoto hao. Alisema watoto wenye vichwa vikubwa kama watapatiwa matibabu mapema wanaweza kuondokana na ulemavu usiokuwa wa lazima
0 comments:
Post a Comment