+10 344 123 64 77

Friday, June 19, 2015

KIMENUKA!!! KIMENUKA!!! KIMENUKA!!!! KIBAKA ANUSURIKA KUFA BAADA YA JARIBIO LA KUIBA BAISKEL YA WATU....

Dakika Mbili za kipigo kwake zilikuwa ni ngumu sana, Ni muda mchache lkn maumivu yake ni zaidi ya miezi mitatu......... Tukio hili limetoke muda mchache uliopita nnje ya ofisi ya Star times mkabala na Benk ya NMB MKOANI  Dodoma,




0 comments:

Post a Comment