+10 344 123 64 77

Thursday, June 11, 2015

MOVE MPYA!!!!! YA ASANTE RAMATHANI YA MSHINDO YAJA...........USIIKOSE KABISA YANI KUTAZAMA

PDM Movie Kuachia Ahsante Ramadhani ya Mshindo

NI ILE ILE  KAMPUNI YAKO  ya PDM Movie katika kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani inaachia filamu kali nay a kusisimua ya AHSANTE RAMADHANI kutoka kwa mwigizaji na mwongozaji mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Mshindo aka J- Four.
Mshindo Jumanne muongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo anakuja na filamu maalum kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani inayoitwa Ahsante Ramadhani kwa ajili ya waumini wa kiislamu kama zawadi kwa wapenzi wa filamu Swahilihood, kwa mara ya kwanza itasambazwa na PDM Movie.
>>>>Nimeamua kutengeneza filamu ya Ahsante Ramadhani kama zawadi kwa wapenzi wa filamu, kila siku natengeneza sinema za kawaida sasa naona muhimu sana kumkumbuka Mola kwa njia ya filamu,”anasema Mshindo.

0 comments:

Post a Comment