+10 344 123 64 77

Thursday, June 4, 2015

SHILOLE....!!! YAMEKWISHA SASA... TUGANGE YAJAYO TU..........NINI?? ILIKUAJE?? FUATILIA HAPA

Hatimaye Shilole Asamehewa
     
    NI Staa wa Shilole baada ya sakata lake la kusambaa kwa picha zinazoonesha sehemu ya maungo yake ya siri hadharani akiwa katika onesho huko Ubeligiji, hatimaye amejisalimisha BASATA kujieleza na kusamehewa rasmi kwa kosa alilofanya.
    Shilole, maarufu zaidi kama Shishi Baby ameweka wazi taarifa hizo kwa mashabiki wake kuwaweka sawa, hasa pia baada ya taarifa kutoka kwa BASATA na tamko la Serikali Bungeni kuwa atachukuliwa hatua.

    0 comments:

    Post a Comment