+10 344 123 64 77

Thursday, June 4, 2015

IN BONGO!!! NANI HUYU ANAEMTIBUA STAA WOYA!!?? FUATILIA HAPA

Nani Huyu Anayemtibulia Uwoya kwa Baba Mtoto Wake?!, Soma Alichokieleza
     

    NI Kuwa juu sio lazima utumie migongo ya watu,mwanamke kujiamin afu mmbwa hawanisumbui kabisa ila fanya yote acha kumtumia msg za uwongo mme wangu ata kama tumetengana tuna mtoto!sooo plzzz kaa mbali na mim ,mim sijazoea uswahili na bishana na pesa sio maneno!ila narudia tena acha kumtumia mme wangu msg za kiseee kama mnatakana fanyeni bila kunitaja tena hamtaona naongea!nazan umenielewa vzuri sina haja ya kukutaja jina unajijua...OVER

    0 comments:

    Post a Comment