+10 344 123 64 77

Thursday, June 4, 2015

WADADA WA BONGO BWANA!!!!!! AMPIGA SIMU BABU JUNIOR LIVE BILA CHENGA

NI Msichana mmoja mrembo ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja hivi karibuni alifanya kitendo cha aibu baada ya kunaswa akimchomolea simu Mwanamuziki Raheem Rumy Nanji ‘Bob Junior’.Tukio hilo la kushangaza lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Bills Posta jijini Dar, ambapo Bob Junior alikuwa miongoni mwa wasanii waliokuwa wakipafomu.

0 comments:

Post a Comment