+10 344 123 64 77

Thursday, June 4, 2015

MZEE ALIE BADILI JINSIA HAYA NDIO YALIO MKUTA........... NI SHIDAH!!!

Aliejibadili jinsia, apata pigo. 
NI Baba wa mwanamitindo na mke wa mwanahip hop nguli duniani Kanye West, Kim Kardashian amepata pigo la kwanza tangu ajibadili jinsia na kuwa mwanamke siku chache zilizo pita.
Kwa mujibu wa mtandao wa TM zzz, Bruce Jenner (sasa hivi Catlyn) alikuwa mcheza gofu grade one Marekani aliekuwa na pointi za juu katika mchezo huo.
Taarifa zinaeleza kwamba itamlazimu Catlyn, kuanza upya kutafuta alama za juu kwenye mchezo huu kwa kuwa chama cha gofu nchini humo, kinamtambua Bruce na si Catlyn kama anavyotambuliwa hivi sasa.

0 comments:

Post a Comment