Staa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Barnabas Elius a.k.a Barnaba.
Boniphace Ngumije
STAA wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Barnabas Elius a.k.a Barnaba hivi karibuni alizushiwa na baadhi ya watu wakiwemo marafiki zake wa karibu kuwa amejiingiza kwenye uimbaji wa nyimbo za Injili jambo ambalo amelikanusha vikali.
Akichonga na Centre Spread, Barnaba alisema taarifa hizo za yeye
0 comments:
Post a Comment