+10 344 123 64 77

Wednesday, August 12, 2015

IN NEWZ!! KWA HALI HI INAVYO ONYESHA NI WAZI KUWA DAVIDO AMETISHIWA MAISHA NA KUAMUA KUJIFUNZA HII ILI KULINDA MAISHA YAKE.....TAZAMA HAPA PICHA ZAKE

davido
 A Superstaa wa muziki Nigeria Davido siku chache zilizopita alikuwa jijini Atlanta kwa ajili ya mafunzo madogo ya matumizi ya bunduki maarufu kama Gun Shooting Range lessons.
Taarifa zinazosambaa mitandaoni wakati huu zinadai labda staa huyu wa Nigeriaamelazimika kuchukua mafunzo hayo kufuatia vitisho dhidi ya maisha yake kutoka kwa mdeni asiyejulikana jina amabaye amekuwa akimshambulia kupitia Instagram page yake.
davido2
Na kupita Instagram page yake Davido alipost picha hizi huku caption yake ikiwa: FU'CK AROUND AND CATCH A BODY !! 😭😭😭😭😭😭💀💀💀🔫🔫🔫🔫🔫🔫🔫“.
davido1

Akapost pia kwenye Instagram page yake kipisi hiki cha video akiwa kwenye mafunzo hayo..

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa 

0 comments:

Post a Comment