Mercy akiwa na mwanaye.
MKONGWE wa filamu kutoka Nollywood, Mercy usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kujifungua mtoto wake wa tatu katika Hospitali ya University of Maryland (Saint Joseph), Marekani.
Hii imekuwa mara ya pili kujifungua mtoto katika hospitali hiyo ambapo mtoto wake wa pili alijifungua hapo lakini wa kwanza alijifungua katika hospitali ambayo haikuwekwa wazi.
0 comments:
Post a Comment