+10 344 123 64 77

Tuesday, January 12, 2016

(AUDIO).. JE NI KWELI KUWA PICHA ZINAZOENEA MTANDANDAONI KUWA MWANAMUZIKI LINEX AMEAOA?? PATA HABARI HAPA

Kama vile ambavyo huenda na wewe mtu wa nguvu umekutana na pichaz mitandaoni, Linex ndani ya suti yake kali kabisa, mrembo ndani ya gauni la nguvu !! Ilikuwa ndoa kabisa au ndio mambo ya cover ya mdundo njiani ?! Basi na Soudy Brown nae kazipata pichaz hivyohivyo..

Linex kaanza kujibu hivi maswali ya Soudy Brown kuhusu picha hizo >>> ‘Kusoma hujui hata picha huoni? Kwani mimi nina kasoro kwamba siwezi kuoa au?‘

Unahisi ni cover ya wimbo anaotaka kutambulisha? Jibu lake hili hapa ‘Sina single yoyote kwanza muziki wenyewe nimepumzika… picha za kanisani coming soon’ kamaliza hivyohivyo.


Sauti ya U Heard yote ya Soudy Brown na majibu ya Linex hii hapa kama umepitwa mtu wangu


0 comments:

Post a Comment