Home
/ CHUCHU HANS AKANUSHA KUWA NA UGOMVI NA JOHARI KISA RAY...SOAM ZAIDI HAPA
Thursday, January 14, 2016
CHUCHU HANS AKANUSHA KUWA NA UGOMVI NA JOHARI KISA RAY...SOAM ZAIDI HAPA
Mrembo na mwigizaji wa filamu za bongo amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu Johari aliyekuwa mpenzi wa Ray kabla yake na kujibu kuhusu uvumi uliyokuwa kwenye mitandao kuwa wana beef kubwa
Chuchu Hans amedai kuwa yeye hakuwahi kuwa na ugomvi na Johari bali ni ulikuzwa tu na mitandao amedai yeye anachojua ni kuwa Johari na Ray ni Business Partner hivyo hawezi kuwaingilia katika kazi na anauheshimu uhusiano huo...
Pia ameongeza kuwa Ray anapenda sana watoto hivyo anawalea watoto wake wawili aliopata kwa bwana mwingine kama watoto wake
Surya
Out too the been like hard off. Improve enquire welcome own beloved matters her. As insipidity so mr unsatiable increasing attachment motionless cultivated. Addition mr husbands unpacked occasion he.
0 comments:
Post a Comment