Adele akiwa katika pozi.Rapa machachari, Rick Ross akiwa katika pozi.
Baada ya kutoa Ngoma ya Hello, wimbo huo ulioimbwa na Staa wa muziki kutoka Uingereza, Adele umekuwa gumzo kila kona ya dunia hususan wanamuziki mbalimbali wakubwa kwa wadogo.
Rapa Rick Ross naye ameibukia katika kutengeneza COVER ya wimbo huo na kufanya kuwa staa mmojawapo kati ya mastaa wengine wa muziki kutoka duniani waliofanya kava akiwemo Joe Thomas, Mary J Blige, Celine Dion na wengine wengi.
0 comments:
Post a Comment