+10 344 123 64 77

Saturday, January 23, 2016

VIDEO za magoli ya Yanga na Simba walivyomaliza kwa ushindi mzunguuko wa kwanza wa Ligi ..TAZAMA HAPA

Weekend hii hakuna michezo ya Ligi Kuu bali ni Kombe la FA mtu wangu, kila timu inahangahika kuwania nafasi ya kusonga mbele, kwani ni mtoano, tukiachana na hayo mtu wangu naomba nikukumbushe kwa video za magoli ya ushindi wa michezo ya mwisho yaYanga na Simba walivyomaliza kwa ushindi mzunguuko wa kwanza wa Ligi. Simbailiwafunga JKT Ruvu 2-0, wakati Yanga waliibuka na ushindi wa goli 5-0 dhidi ya Majimaji FC, Hizi ndio video zenyewe mtu wangu
Yanga Vs Majimaji FC

Video ya magoli ya Simba Vs JKT Ruvu

0 comments:

Post a Comment