+10 344 123 64 77

Wednesday, February 24, 2016

Kiba Aeleza Kwanini Hakuweza Kumuoa Mwanamke Yeyote Kati ya Watatu Aliozaa Nao

Alikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao.
ali kiba65

Hitmaker huyo wa Lupela alikiambia kipindi cha Chill na Sky kuwa hakupenda kulazimisha iwe hivyo.
“Unajua hauwezi kumuoa mtu kama hamuelewani. Nia yangu ilikuwa ni kustick na kila mama wa mmoja toka nilipoanza. Lakini mambo yanaenda tofauti, huenda mnagombana anapata mtu mwingine,” anasema Kiba.
“Kwahiyo hautakiwi kuforce mapenzi, mimi nataka nikae na mtu ambaye tutaelewana,” ameongeza

0 comments:

Post a Comment