+10 344 123 64 77

Tuesday, February 9, 2016

ROMA Kuhalalisha Mahusiano Yake na Mama Ivan....soma zaidi hapa

Msanii wa muziki Roma Mkatoliki ameamua kuhalalisha mahusiano yake na mama wa mtoto wake, akiwa sasa katika mchakato wa kuoa, mwishoni mwa wiki akikamilisha zoezi zima la send-off ya mpenzi wake huyo kuelekea harusi.
Roma-2
Roma na Mama Ivan wamepata backup kubwa kutoka kwa msanii wa muziki Kala Jeremiah, ambaye alikuwa ndiye mpambe wa msanii huyo, akishirikiana na mwanadada ambaye mkali huyo wa ngoma kama Dear God, na Malkia amekana kuwa siye mpenzi wake.
Kuhusiana na mipango ya harusi, na mahusiano kati ya Kala na mrembo ambaye alikuwa mwenzi wa msanii huyo katika shughuli nzima ya upambe.

0 comments:

Post a Comment