+10 344 123 64 77

Saturday, May 14, 2016

PICHA & VIDEO: Diamond Platnumz...KUBOMOA NYUMBA YAO YA ZAMANI NA KUJENGA HII...BOFYA KUTAZAMA ZAIDI


Hiyo picha hapo juu ni muonekano wa nyumbani anakotokea Diamond Platnumzalikolelewa toka anakua.. panaitwa Tandale kwenye jiji la Dar es salaam ambapo staa huyu amepakumbuka siku zote na alitumia pesa zake kupatengeneza upya kama inavyoonekana kwenye hii video fupi chini baada ya hii picha.
D
Diamond akifanya video mbele ya nyumba ya zamani.. muonekano baada ya kuibomoa na kuijenga upya ndio upo kwenye hii video fupi hapa chini

0 comments:

Post a Comment