+10 344 123 64 77

Saturday, May 14, 2016

STORY..KANYINYI NA NDOTO NJEMA...


kijana kanyinyi aliendelea kuwa na mawazo mazuri juu ya msichana aliempenda sana..alitumia mda wake mwingi kumfikilia yeye mpaka mda mwingine aliamua kuacha kulima na kupumzika chini ya mti na kufikilia haya.......


wazazi wake wali msii sana apunguze mawazo lakini hakusikia na haya ndio yalikuwa madhara yake....itaendelea

0 comments:

Post a Comment