+10 344 123 64 77

Tuesday, May 24, 2016

VIDEO: Exclusive ya Vanessa Mdee na mambo 9 ya kuyajua kutoka kwake



Najua kuna watu wangu ambao wao ni damdam na kuzipata stori za mastaa wao, leo Kamera yetu

imempata Msanii wa Bongo fleva Vanessa Mdee kwenye exclusive interview akiwa Dodoma ambapo anashare na sisi mambo 9 ambayo ambayo huwenda mengine hukuwahi kuyajua kutoka kwake.


ULIIKOSA? VANESSA MDEE ALIVYOIACHIA NIROGE TOUR DODOMA

0 comments:

Post a Comment