+10 344 123 64 77

Wednesday, May 20, 2015

DIAMOND!!! THE SHOW WAS AMAZING AT LONDON=====>> READ MORE

Musa Mateja

AMAZING! Hiyo ndiyo kauli pekee unayoweza kuitamka kuakisi shoo baab’kubwa aliyoifanya mkali wa wimbo wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’, London, Uingereza, Risasi Mchanganyiko linakujuza zaidi.
Mwanamuziki Nasibu ‘Diamond’ akipagawisha wakazi wa jiji la London.
Shoo hiyo iliyoacha gumzo la aina yake nchini humo kutokana na kupata idadi kubwa ya mashabiki, ilifanyika Jumapili iliyopita katika Ukumbi wa Royal Regency, maeneo ya Manor Park.
Chanzo chetu kilichoambatana na msafara wa Diamond kwenye shoo

0 comments:

Post a Comment