+10 344 123 64 77

Tuesday, June 2, 2015

PHOTO!!! ZIMEVUJA PICHA MPYA ZA JEZI YA MAN U....... NI HIZI HAPA ANGALIA MDAU

Jezi mpya za United zitakazotumika msimu ujao zimevuja mitandaoni ambapo picha ya mchezaji machachali  Ashley Young imeonekana ambapo mchezaji huyo ni kama amepozi akiwa anapigwa picha maalum kwa ajili ya matangazo ya jezi hizo.
Hata hivyo United haijatoa taarifa rasmi kuhusu uzinduzi wa jezi mpya na kilichoonekana ni picha ambayo wengi wameihusisha na jezi ambazo United itazindua siku za karibuni.

0 comments:

Post a Comment