+10 344 123 64 77

Tuesday, June 2, 2015

SIENDI LIVEPOLL!!! ASIBITISHA JURGEN KLOPP......

klopp
NI Kocha Machachali  ambaye ameamua kuondoka kwenye klabu ya Borrusia Dortmund, Klopp amethibitisha kuwa hatajiunga na klabu ya Liverpool kama inavyovumishwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari barani Ulaya.
klopp majuzi aliiongoza Dortmund kwenye fainali ya kombe la Ujerumani ambapo timu yake ilifungwa 3-1 na Wolfsburg akiwa tayari ametangaza kuondoka kwenye klabu hiyo baada ya kuwa nayo kwa misimu 7.
Vyombo vya habari nchini England vimekuwa vikimhusisha na kocha huyo na mpango wa kujiunga na klabu ya Liverpool ambayo kwa nyakati tofauti imetajwa kuwa mbioni kumfukuza kazi kocha wake Brendan R0gers.

0 comments:

Post a Comment