+10 344 123 64 77

Friday, July 31, 2015

IYANYA: MIMI SI WA KWANZA KUMPAGAWISHA YVONNE NELSON.....BOFYA KUJUA ZAIDI.....

Mwanamuziki wa Nigeria, Iyanya.
Lagos, Nigeria

MWIGIZAJI wa kike wa Ghana, Yvonne Nelson, amesema wiki kadhaa zilizopita katika mahojiano kwamba mwanamuziki wa Nigeria, Iyanya, ndiye mtu kwa kwanza ambaye aliuvunjavunja zaidi moyo wake kwa penzi kubwa ambalo alilolionyesha kwake.
Mwigizaji wa kike wa Ghana, Yvonne Nelson.
Hata hivyo, mwanamuziki huyo alipofanya mahojiano na kituo cha televisheni cha MTV, alisema…

0 comments:

Post a Comment