+10 344 123 64 77

Friday, July 31, 2015

MDEE..... SASA NI KIMATAIFA ZAIDI...... MFUATILIE HAPA..........AKIWA KIMBELEMBELE

Vanessa Mdee ‘Vee Money.
Na Saphyna Mlawa

UKITAJA listi ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa kimataifa basi Vanessa Mdee ‘Vee Money’ linakuwa jina namba moja.Vanessa, 27, ambaye ameanza muziki ‘juzi’ sasa anaonekana kama mkongwe na kuwapita baadhi ya wasanii wa kike ambao amewakuta kwenye ‘gemu’.
Vanessa Mdee ‘Vee Money’ akiwa na Rick Ross.
Hivi karibuni alitajwa kuwania tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika kupitia MTV Mama 2015, lakini ikatua kwa Yem

0 comments:

Post a Comment