+10 344 123 64 77

Thursday, July 30, 2015

KERI HILSON.. NICK MINAJI, KIM KADESHIAN.... WAMLILIA BOBBI KRISTINA.....FUATILIA HAPA

Marehemu Bobbi Kristina enzi za uhai wake.
New York, Marekani

INASIKITISHA SANA! Baada ya kifo cha mtoto wa staa wa R&B, Hayati Whitney Houston, Bobbi Kristina aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita, mastaa wengi nchini Marekani wameonesha hisia zao za kuguswa na kifo hicho kwa kutuma salamu za pole kuifariji familia ya marehemu.
Keri Hilson.

0 comments:

Post a Comment