+10 344 123 64 77

Tuesday, August 4, 2015

CHUPUCHUPU...ANUSURIKA KUUWAWA...SOMA ZAIDI HAPA

Na Gregory Nyankaira, Mara
BIBI kizee Selina  Akeyo (60), mkazi wa Buembu, nchini Kenya amenusurika kuuawa kwa kucharangwa mapanga na kijana wa marehemu Daniel Okumbo (72) baada ya kutuhumiwa kumuua kwa kumuwekea sumu kwenye pombe aina ya gongo

0 comments:

Post a Comment