+10 344 123 64 77

Wednesday, September 30, 2015

NII...KADJANITO KUIWEKA SINA MARINGO KIDEONI!....BOFYA KUJUA ZAIDI HAPA




NI STAA wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Khadija Said Maige ‘Kadjanito’ ameweka wazi juu ya ujio wake wa Sina Maringo kwamba yupo mbioni kutoka na video yake.
Kadjanito aliyewahi kubamba na Ngoma ya Maumivu amesema kuwa video hiyo imeandaliwa nchini na kwamba hajaona sababu ya kukimbilia kwenda kuitengenezea nje ya nchi kama wafanyavyo baadhi ya mastaa wa muziki huo.
“Mashabiki wangu wakae mkao wa kula kwani nipo katika hatua za kumalizia kushuti video ambayo hata dairekta wake itakuwa kama sapraiz siku ikitoka,” alisema…

0 comments:

Post a Comment