+10 344 123 64 77

Monday, November 2, 2015

HATARI!!!!!!!!!!!!!! HAYA NI BAADHI TU YA MABAKI YA NDEGE YA URUSI ILIYOANGUKA SINAI, MISRI

Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri ilikuwa na abiria 200, watoto 17 na wafanyakazi wa ndege hiyo 7.…
Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri ilikuwa na abiria 200, watoto 17 na wafanyakazi wa ndege hiyo 7.

0 comments:

Post a Comment