+10 344 123 64 77

Tuesday, January 26, 2016

Kajala Ajivunia Paula Wake.........

kajala78
ni Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameonyesha kujivunia kukuza binti yake,  Paula kwa kuweka picha hizo hapo juu mtandaoni akiwa na Paula wakati akiwa mtoto na sasa hivi alivyokuwa binti  kisha akaandika haya.
“Back then when my Paula was a baby now she is a grown young lady, I love u princess😍😍😘💋”-Kajala
Hongera sana Kajala.

0 comments:

Post a Comment