+10 344 123 64 77

Sunday, January 24, 2016

Marekani yakumbwa na theluji

3081E8BB00000578-3413634-A_man_makes_his_way_during_a_storm_in_New_York_while_across_the_-a-80_1453624634275
Mwananchi akikatiza katika mitaa ya New York, Marekani ambayo nayo imekumbwa na theluji.
3083EDE000000578-3413634-Gary_Utley_27_of_Alexandria_snowboards_behind_a_Jeep_driven_by_h-a-47_1453624632314
Gary Utley wa Alexandria akivuta gari lake aina ya Jeep kulitoa kwenye theluji.3083FAC000000578-3413634-A_couple_of_volunteers_help_a_driver_push_is_car_out_of_the_snow-a-107_1453624636154
Wananchi wakisaidiana kunasua gari lililonasa kwenye theluji.
30841C3500000578-3413634-A_man_poses_for_a_photo_on_a_snow_pile_during_a_snow_storm_in_Ti-a-66_1453624633269
Mwanaume huyu aliamua kupozi kwa ajili ya ‘selfie’ juu ya theluji.
30846AA300000578-3413634-Bethany_Wallace_loads_her_car_with_groceries_outside_the_Stop_an-a-94_1453624635137
Bethany Wallace  akipakia baadhi ya mahitaji yake kwenye gari huko Marstons Mills, Massachusetts.
308392DF00000578-3413634-Snow_is_continuing_to_fall_across_New_York_on_Saturday_and_is_du-a-43_1453624632141
Theluji ikiwa imetanda katika Jiji la New York, Marekani.
3080078D00000578-3413634-Workers_struggle_to_keep_the_streets_open_in_New_York_where_all_-a-3_1453624625871
Wafanyakazi wa Jiji wakiondoa theluji katika mitaa ya New York.
3082635C00000578-3413634-Ten_inches_of_snow_fell_in_Manhattan_on_Saturday_morning_with_mo-a-26_1453624630357
Theluji ikiwa imetapakaa katika maeneo ya Manhattan.
3082632100000578-3413634-Cars_covered_in_snow_are_seen_parked_along_a_street_in_Prince_Wi-a-78_1453624634011
3084141400000578-3413634-William_Winston_of_Richmond_digs_his_jeep_out_of_a_snow_bank_in_-a-73_1453624633719
Magari yakiwa yamefunikwa na theluji huko Prince William, Virginia.
New York City.THERUJI
Ni theluji kila kona katika mitaa iliyo mashariki mwa Marekani.
Maeneo mengi ya mashariki mwa nchi ya Marekani yamefukiwa na theluji kufuatia kuanguka kwa kiwango kikubwa zaidi cha theluji kuwahi kushuhudiwa.
Zaidi ya watu milioni 80 katika majimbo 18 wameathirika. Usafiri wa reli na ndege umetatizwa na zaidi ya watu 200,000 kubaki bila umeme.
Maeneo mengine yalishuhudia theluji yenye hadi urefu wa mita moja. Utawala katika Mji wa New York unasema marufuku kuhusu usafiri inabidi kuondolewa licha ya mji huo kushuhudia theluji kubwa leo Jumapili.

0 comments:

Post a Comment