Baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya mmiliki wa TP Mazembe Mosie Katumbi na Mbwana Samatta kuhusu dau la usajili ili ajiunge na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, January 29 ndio ilikuwa mwisho wa ubishi rasmi Mbwana Samatta katua katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram
0 comments:
Post a Comment