+10 344 123 64 77

Sunday, September 13, 2015

BWANA AMETOA .... BWANA AMETWAA ....MAMA MZAZI WA DOGO ASLAY AFARIKI DUNIA.......POLE SANA KWA MSIBA MZITO

PhotoGrid_1416578914975
Mama mzazi wa ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed enzi za uhai wake.....
Mwimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ aliyefiwa na mama yake mzazi.
Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed amefariki leo alfajiri katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam alimokuwa amelazwa.
Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa Yamoto Band, Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kuongeza kuwa, Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho…



0 comments:

Post a Comment