+10 344 123 64 77

Saturday, January 23, 2016

VIDEO MPYA: Mabibi na mabwana video ya ‘zigo remix’ ya Ay ft. Diamond ndio hii imetoka..BOFYA HAPA KUTAZAMA

Baada ya subira ya saa kadhaa baada ya watu kuisikiliza audio, mzigo wa video ndio huu umeachiwa tayari… ambapo pamoja na Ay na Diamond, ndani zimeonekana baadhi ya sura ambazo ni maarufu Tanzania, bonyeza play kuitazama.

0 comments:

Post a Comment