Matukio mengi ya burudani yamezidi kupata headlines mbalimbali hususani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka 2015, hapa nakusogeza karibu tena na msanii Alikiba kwenye stage ya Escape One, Mikocheni Dar es Salaam Dec 26.
Bonyeza Play hapa ushuhudie matukio yote ikiwemo Wema Sepetu na Jokatewalivyopandishwa jukwaani.
0 comments:
Post a Comment